NIPASHE

18Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nadharia hiyo ya kitafiti itokanayo na kazi ya miaka mitano iliyokamilika katikati ya mwaka jana, ilimgusa zaidi mwanaume katika mfumo wake wa kizazi.  Siku chache zilizopita, watafiti wenzao...
18Jan 2018
Gurian Adolf
Nipashe
Mwipungi akikumbana na mkasa huo alipokwenda mtoni kunawa miguu baada ya kutoka shambani.Tukio hilo lilitokea juzi saa 11 baada ya Mwipungu kufika mtoni  kisha kuanza kunawa miguu kutoa tope...

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta, Dk. Haroun Kondo.

18Jan 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, shirika hilo limedhibiti matumizi mabaya ya fedha, kujimilikisha mali za shirika na ubadhilifu mwingine uliosababisha kujiendesha kwa hasara na mali zake kupotea ovyo kwa miaka tisa.Mwenyekiti...

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.

18Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, wakati wa ufunguzi wa mgodi huo ambao shughuli zake zilikuwa zimesitishwa na serikali baada ya kusababisha ajali mara mbili Februari...
18Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia, katika lugha nyingine nyepesi, aleji inaelezwa kuwa kitendo cha mwili kupungukiwa maji wakati kitu kinachoitwa ‘histamini’ kinapozalishwa kupita wastani, ili kuhimiza unywaji maji na...

NYUMBA YA LUGUMI.

18Jan 2018
Romana Mallya
Nipashe
Kampuni ya Udalali ya Yono ya jijini Dar es Salaam, imesema inajipanga upya kwa ajili ya kuuza mahekalu hayo na kwamba tarehe rasmi ya mnada huo itatolewa rasmi hivi karibuni. Nyumba hizo...

waziri wa biashara na viwanda, charles mwigaje.

18Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Wito huyo ulitolewa na mratibu wa  mradi wa maboresho ya elimu ya sekondari wa Asasi ya Kuunganisha Vijana Kimaendeleo Ruangwa (Akuvikiru), Simon Ndallu, alipokuwa akizungumza katika mkutano wa...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Boreha wilayani Tarime, Januari 17, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

18Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aliyewezesha kumalizika kwa mgogoro huo uliodumu kwa miaka mitatu  ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.Majaliwa alitangaza kufikiwa kwa mwafaka huo jana, wakati akizungumza na watumishi na madiwani...
18Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Nyumba za yatima katika huzuni
Hapo kulikuwepo jumuiya ya Wakorea wanaoishi jijini Dar es Salaam, umati wa majirani zake wakazi wa Msasani Dar es Salaam na kundi kubwa la watoto yatima, wakiwemo marafiki zake ambao ni takriban...
18Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*** Hatima ya Djuma nayo yajulikana akiivaa Singida leo...
Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, alisema kuwa kikosi chake kimejiandaa vizuri kuwakabili wageni hao, lakini akieleza kwamba mchezo huo hautakuwa mwepesi kwa timu zote mbili."Tumejiandaa na...

Rais John Magufuli akizungumza baada ya kukutana na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako Ikulu jijini Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

18Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu jana, ilisema michango hiyo ni kinyume cha mwongozo uliotolewa na serikali wa utoaji wa elimu bila malipo na amewaonya viongozi watakaozembea...

Kaimu Mkuu wa sehemu ya Uchaguzi Kanda ya Pwani kutoka NEC, Stephen Elisante.

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ndiyo iliyowakumbusha wasimamizi hao wajibu wao wa kukumbuka hayo kwa ajili ya uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Februari 17, 2018.Hayo yalisemwa na Kaimu Mkuu wa...
17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hii ya pili imekuja baada ya mabasi yatokayo Dar es Salaam kwenda Dodoma, Singida, Mwanza, Musoma na Kahama kufungiwa vifaa hivyo.Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Afisa Mfawidhi Sumatra...

Naibu Waziri na Mbunge wa Ngorongoro (CCM) William ole Nasha.

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shule hiyo imejengwa na mwinjilisti Jane Kim (Mama Maasai), raia wa Marekani mwenye asili ya Korea anayefanya kazi ya ujilisti na Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (DMK)....

Meneja wa NHIF mkoani Kilimanjaro, Fidelis Shauritanga.

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meneja wa NHIF mkoani Kilimanjaro, Fidelis Shauritanga alisema lengo la mkoa wake kwa mwaka  2017 lilikuwa ni kuandikisha watoto 3,000 lakini halikufikiwa kutokana na changamoto mbalimbali...
17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mrindoko alitoa tahadhari hiyo jana baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari Kibo iliyopo Manispaa ya Moshi na kukutana na wajumbe wa bodi wa shule hiyo.Akiwa shuleni hapo,...

Muonekano wa barabara ya changarawe ya kuruka na kutua ndege katika Kiwanja cha Ndege cha Musoma.

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uwanja huo una njia ya kurukia na kutua ndege yenye urefu wa kilometa 1.6 ambayo itaboreshwa kwa kiwango cha lami, imeemlezwa, ili kuongeza shughuli za utalii na hatimaye kukuza uchumi wa taifa....

Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Iringa, Alphonce Muyinga.

17Jan 2018
Gerald Kitalima
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa kikosi cha Zima Moto kilifanikiwa kufika katika nyumba hiyo na kujaribu kuzima moto huo ambao tayari ulikuwa umeshaleta athari ndani ya nyumba kwa kuungua kwa mali mbalimbali...
17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Magufuli amepiga marufuku hiyo alipokutana na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S. Jafo na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce L....

Sehemu ya bustani ya kupumzikia iliyopo Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ikiwa imetelekezwa kwa kutohudumiwa na kugeuzwa kuwa jalala la kutupia takataka. Eneo hilo lilijengwa miaka ya 1960 ililengwa kuwa sehemu ya kupumzikia wakazi wa jiji nyakati za jioni. PICHA: SELEMANI MPOCHI

17Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Nipashe lilifika na kushuhudia mazingira yakiwa machafu, huku kukiwa na mrundikano wa uchafu uliokusanywa na majani yakiwa yametanda eneo lote.Wafanyabiashara walioko eneo hilo walilieleza Nipashe...

Pages