NIPASHE

22Mar 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
Katika droo hiyo, Simba imepangwa kuumana na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo mchezo wa kwanza utachezwa hapa nchini kati ya Aprili 5 na 6 mwaka huu. Kagere, akizungumza na...
22Mar 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Afunguka nyota wake wameimarika na kueleza hakuna timu ndogo robo fainali...
Simba itawakaribisha mabingwa hao mara mbili wa Afrika, TP Mazembe kati ya Aprili 5 na 6 mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kurudiana mjini Lubumbashi baada ya wiki moja....
22Mar 2019
Joseph Mwendapole
Nipashe
Wajumbe wa kamati hiyo walitoa ushauri huo juzi, jijini Dar es Salaam, walipotembelea shirika hilo kujionea shughuli mbalimbali za udhibiti wa ubora zinazofanywa. Mwenyekiti wa Kamati hiyo,...
22Mar 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza kwa niaba ya wenzake, mzazi wa watoto waliomo katika mradi huo, Rahma Ali Khamis, alisema kuwa bidhaa wanazozalisha zimekuwa zikikosa soko la uhakika hali ambayo imekuwa ikisababisha hali...

Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, picha mtandao

22Mar 2019
Renatha Msungu
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa juzi na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, wakati akizindua ripoti za utendaji wa mamlaka za majisafi na usafi wa mazingira kwa mwaka wa fedha 2017/18, ambazo zinahudumia...
22Mar 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ilisema Markel amempongeza Rais Magufuli kwa juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kujenga mazingira mazuri ya...

MKUU wa Wilaya ya Handeni, Gondwin Gondwe, picha mtandao

22Mar 2019
Dege Masoli
Nipashe
Aidha, ametishia kuwafikisha kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) viongozi wote wasiofuata miongozo, kanuni na taratibu za fedha ili kulinda uwajibikaji na matumizi...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, picha mtandao

22Mar 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Walisema kwa sasa wanatozwa Sh. 15,000 hadi Sh. 30,000 kwa ng'ombe mmoja na Sh. 4,500 hadi Sh. 7,500 kwa mbuzi mmoja. Walisema tozo hiyo ni kubwa na inawafanya wengi washindwe kumudu. Naibu...

Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Dk. Amos Nungu, PICHA MTANDAO

22Mar 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Wiki ya ubunifu nchini imeandaliwa na Mfuko wa Ubunifu kwa Maendeleo ya Binadamu (HDIF) na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), kwa ufadhili wa Uingereza. Akizungumza na waandishi wa...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, picha mtandao

22Mar 2019
Romana Mallya
Nipashe
Kampuni hiyo ilikuwa inatekeleza mradi wenye thamani ya Sh. bilioni 37 wa kusimika mfumo wa utambuzi wa alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchi nzima baada ya kushinda zabuni miaka minane...
22Mar 2019
George Tarimo
Nipashe
Mmoja wa wafanyabiashara wa maduka ya bidhaa za vilainishi vya mitambo, Shadrack Innocent, alisema changamoto kubwa inayowakumba ni msako wa kushtukiza na kuishauri TBS kufanya msako huo maeneo ya...

Makontena yakipakuliwa katika Bandari ya Dar es Salaam. PICHA ZOTE: MTANDAO.

22Mar 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Ujue ushiriki wa Afrika Mashariki
Mauzo ya moja kwa moja, ni wazo la biashara ya kimataifa na linaelezewa kama uuzaji bidhaa za matumizi au huduma, kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mtu mwingine, mbali na maeneo ya maduka ya kawaida....
22Mar 2019
Ibrahim Yassin
Nipashe
Mji wa Tunduma ni wa kibiashara kutokana na mwingiliano wa watu kutoka nchi za Zambia na Congo. Kutokana na hilo, watu hutumia mwanya huo kufanya kile wanachoona kitawarahisishia kujipatia kipato...

Nyuwaji Bakari, Katibu wa Wacoma Mkaa wa Mlilingwa, Morogoro, akieleza jambo kuhusu uandaaji wa mkaa endelevu. PICHA: CHRITISTINA HAULE.

22Mar 2019
Christina Haule
Nipashe
Wajenga banda mil. 16/-; mbioni kuwa kampuni, Wote waajiriwa wa mshahara kwenye mradi wao
Hiyo ni kutokana na mafanikio ya kumiliki mtaji wa zaidi ya shilingi milioni 25 sasa, ikiwa ni matokeo chanya ya Mradi wa Mageuzi katika Sekta ya Mtaa Tanzania (TTCS), maarufu kama mkaa endelevu....
22Mar 2019
Mhariri
Nipashe
Rais alitoa maelekezo na kesi ilifuatiliwa ikabainika kuwa hakuwa na hatia ya mashtaka aliyokuwa amefunguliwa mahakamani na sasa ameachiwa huru, japo polisi inadai kuwa inaendelea kumchunguza....
22Mar 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Malori manane yaliyobeba shehena ya tani 200 za mahindi na moja lililosheheni dawa, magodoro na vyandarua yaliwasili wilayani Karonga yakitokea Tanzania. Msaada huo ulikabidhiwa nchini Malawi na...
22Mar 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
Dante ambaye anasumbuliwa na maumivu ya nyama za paja pia aliondolewa katika kikosi cha Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na nafasi yake kuchukuliwa na Erasto Nyoni. Akizungumza na gazeti hili jana,...

Rais Nana Akufo.

22Mar 2019
Jenifer Julius
Nipashe
Akizungumza jijini hapo, katika mkutano wa Wiki ya Mabadiliko wa Tabia Nchi unaoendelea Accra Ghana , Rais Akufo Addo wa nchini hapo, anasema nchi yake imeamua kuingia katika kampeni kupunguza joto...
22Mar 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na matokeo hayo Simba Queens inayonolewa na kiungo wa zamani wa Simba, Mussa Hassan "Mgosi" imebakia na pointi zake 28, wakati Alliance Girls wao wamefikisha pointi 29 na kupanda hadi nafasi...
22Mar 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jijini jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars, Paul Makonda ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alisema kuwa wanaamini ujio wa kiongozi huyo utaongeza morali kwa...

Pages